Chemsha bongo 21

imageimage
15.Ngozi yangu
Hata ukinitowa ngozi yangu silii ng’o. na vinginevyo utalia mwenyewe. Je! Mimi ni nani?

Jibu
Kitunguu