matunda na mboga



FAIDA ZA MATUNDA NA MBOGA

 

Huu ni ufupisho wa matunda na mboga na faida zake kiafya. Nimeandika haya kwa ufupi baada ya kupitia vitabu na tafiti mbalimbali na vyanzo vingine vya maarifa. Hivyo nimeamua kukufupishia tu. Ukitaka urefu wa haya Soma kitabu chetu cha matunda.



Faida za kiafya za kula:-

  1. ASALI

  2. BAMIA

  3. MABOGA

  4. CHAI

  5. CHUNGWA NA CHENZA

  6. EMBE

  7. TUFAHA AU EPO

  8. FENESI

  9. FYULISI

  10. KABICHI

  11. KARANGA

  12. KAROTI

  13. KISAMVU

  14. KITUNGUU MAJI

  15. KITUNGUU THAUMU

  16. KOMAMANGA

  17. KOROSHO

  18. KUNAZI

  19. KUNGUMANGA

  20. NDIMU NA LIMAO

  21. MAGIMBI

  22. MAHARAGWE, KUNDE, MBAAZI, NJEGERE NA NJUGUMAWE

  23. MAHINDI

  24. MAINI

  25. MAYAI

  26. MAZIWA

  27. MBEGU ZA MABOGA

  28. MBEGU ZA MRONGE

  29. MBEGU ZA MAPAPAI

  30. MCHAICHAI

  31. MIHOGO

  32. MIWA

  33. MANANASI

  34. NAZI NA MADAFU

  35. NDIZI

  36. NYAMA

  37. NYANYA

  38. PALACHICHI

  39. PAPAI

  40. PENSHENI

  41. PERA

  42. PILIPILI

  43. SAMAKI

  44. SNENE, KUMBUKUMBI NA PANZI

  45. SPINACHI

  46. STAFELI

  47. TANGAWIZI

  48. TANGO

  49. TENDE

  50. TIKITI

  51. TOPETOPE

  52. UBUYU

  53. UKWAJU

  54. UYOGA

  55. VIAZI MBATATA

  56. VIAZI VITAMU

  57. ZABIBU

  58. ZAITUNI

  59. NJEGERE



                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Afya File: Download PDF Views 3531

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 web hosting    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

KITABU CHA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji.

Posti hii inahusu zaidi Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, tukumbuke kuwa mtu aliyefanyiwa upasuaji anakuwa kwenye riski sana ya kupata magonjwa na mambo mengine mbalimbali kwa hiyo kuna dalili zikijitokeza kwa mgonjwa aliyepasuliwa Zinapaswa kuf

Soma Zaidi...
DONDOO 100 ZA AFYA

Pata dondoo 100 za Afya

Soma Zaidi...
kitabu cha afya

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
darasa la lishe

Jifunze mengi kuhusu afya na lishe, ujuwe utaratibu wa lishe

Soma Zaidi...
KITABU CHA MATUNDA

Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho

Soma Zaidi...
DARASA LA AFYA NA AFYA YA UZAZI

Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.

Soma Zaidi...