image

Trojan na Virus

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Trojan na Virus

UWANJA WA TEKNOLOJIA

 

Sehemu ya pili

.

TOFAUTI YA TROJAN NA VIRUS
Tojan na virus no aina za malware ambozo zinaadhiri kompyuta yako eidha kuharibu mafaili au kuunganisha kompyuta yako na hacker (wezi was kimitandao)

Trojan .
Trojan ni program za kicompyuta (malicious computer programme) hutumika kuhaki kifaa chako kwa kukuunganisha na hackers. Trojan  zinafanyakazi zaidi na ilokusudiwa.  Yaani unaweza ukafanya installation ya software kwa ajili ya kufanya jambo Fulani lakini tofauti na kufanya kazi hi yo software hii inakuwa na kazi nyengine usio ifahamu ambayo itaadhiri kompyuta yako eidha kuongeza ads au kuunganisha kompyuta yako na mitandao ya hackers. trojan

Virus Hizi,programme nazo zilizoandaliwa kuathiri kompyuta yako kwa mfano kuharibu mafaili au kula window n k. Virus vimeandaliwa ili vimfanye mtumiaji was kompyuta anunue antivirus software. Kwa kifupi virusi ni progam au faili ambazo huweza kuhama kutoka kompyuta moja kwenda nyingine na kuacha athari zake kwenye kompyuta. virus

Kama tulivyosema katika post ya hapo juu vyite hivi vinaweza kuifanya kompyuta yako iwe slow na kuathiri utumiaji wako. Sambamba na hill pia virus vinaeeza kuifanya kompyuta yako ikakolaps window mama visipo tibiwa katika muda sahihi.

Kuondowa virus I na Trojan unahitajika kuwa na antvirus iliyo active . Pia utahitajika kuiskan kompyuta yako yote yaan full scanning.  Kisha ondowa software zote zilikopatikana kuwa zinaathiri kompyuta yako.  Kisha ristat kompyuta.

 


‹ ‹ Nyuma          Mbele › ›





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 325


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Trojan na Virus
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta.. Soma Zaidi...