Buibui hupuruka ijapokuwa hana mbawa.
Nataka nikufundishe moja katika maajabu ya mdudu Buibui kwa lugha ya kimombo spider.
Buibui ni katika wadudu wenye maajabu sana. Hivi unajuwa kama hizi wa buibui ni imara kuliko chuma?
Tuachane na hilo, kuna hili , hivibumeshawahi kukumba uzi wa buibui ukiwa unatembea halafu usijuwe uzi huo umetoka wapi, hakuna miti wala majani marefu.
Tafiti zinaonyesha kuwa mdudu Buibui anaweza kupuruka ijapokuwa hana mabawa. Buibui wanaweza kueleza angani.
Wataalamu wanaeleza kiwa Buibui hutumia Umeme wa dunia ambao upo angani ili kuweza kuruka hewani.
Ipo hivi kama unavyoona radi ni umeme ule. Sasa huku ardhini kunakuwa na chaji hasi na angani kunakuwa na chaji chanya. Kawaida umeme ni sawa na sumaku huvutana.
Sasa buibui akiwa ardhini uzi wake unakuwa na chaji hasi. Pale anapotaka kuoiruka kuangalia kama anganibkuna umeme wa kutosha. Anapojiridhisha kutoa uzi wake ule wenye chaji hasi na huvutwa angani ambapo kina chaji chanya.
Hivyo huweza kuruka angani na kuelea na kwenda anapotaka. Bado wanasayansi hawajaelewa zaidi kuhusu undani wa jambo hili. Hivyo basivtafiti zaidi zinahitajika.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 kitabu cha Simulizi π2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π3 Madrasa kiganjani π4 ai web app π5 Kitau cha Fiqh π6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
The fastest (anakwenda mbio zaidi)
Posti hii inakwenda kukuletea sifa za mnyama anayekwenda mbio zaidi
Soma Zaidi...Bongoclass
Bongoclass ni darasa la kushiriika akili na maarifa kutoka kwa watu mbalimbali katika kutumia fursa zilizopo ili kuzalisha kipato na kuleta maendeleo katika jami
Soma Zaidi...