Jifunze kufanya mambo mbalimbali kwa vitendo, kwa kutumia picha, sauti ama video
HOW TO FROM BONGOCLASS
Huu ni ukirasa uliondaliwa kwa ajili ya kukupa ufahamu na ujuzi juu ya kufanya mambo mbalimbali kwa vitendo. Hapa tutakupa nadharia
na kukupa maelekezo kwa njia ya picha ama kwa sauti ama vinginevyo, ili uweze kufanya mabo unayotaka kujua.
Kama upo tayari kujifunza mambo mbalimbali bofya hapo chini kwenye menu na uchague kipengele unachotaka kujuwa zaidi. Unaweza pia kututumia makala
yako kama unataka tuiweke hapa.
Umeionaje Makala hii.. ?
This is the history of the attempt to destroy the city of Mecca and to destroy its people and destroy it in the history of the World. One leader, known as Abrah, organized a huge army to destroy Al-Qa'aba
Soma Zaidi...Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo".
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Unaweza kuwasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, kwa kutumia jina la Bongclass.
Soma Zaidi...Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini.
Soma Zaidi...Duniani kuna aina nyingi za nyoka, lakini wachache wao ndio wanaojulikana kwa sumu kali inayoweza kuua haraka. Miongoni mwao ni Inland Taipan, King Cobra, Black Mamba, na Tiger Snake. Sumu zao huathiri mfumo wa neva, damu, au misuli ya mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...