Faida za kiafya za kula Mbegu za maboga

Faida za kiafya za kula Mbegu za maboga



Faida za mbegu za maboga

  1. mbegu za maboga zina virutubisho kama protini, fati, vitamini K na madini ya zink, shaba, manganese na manganessium.
  2. Zina antioxidant ambazo hulinda seli dhidi ya uharibifu
  3. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
  4. Huimarisha afya ya korodani na kibofu
  5. Husaidia kuboresha afya ya moyo,
  6. Hudhibiti kiwango cha sukari
  7. Ni nzuri kwa afya ya mifupa
  8. Huzuia tatizo la kuziba kwa choo
  9. Huongeza wingi wa mbegu za kiume
  10. Husaidia katika kupata usingizi mwororo


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Main: Dini File: Download PDF Views 470

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Kitau cha Fiqh   

Post zinazofanana: