Chemsha bongo namba 10
7.
Chemsha bongo 10
![]()
![]()
7.Tujikumbushe kidogo na hii
Mtu mmoja alikuwa akitokea shmba. Kwa bahati mbaya mvua kubwa akamnyeshea. Akiwa hana mwavuli wala jacketi ama kiti chochote cha kumkinga na mvua. Hivyo alitota sana. Jambo la kushangaza alitota mwili mzima lakini hata nywele yake moja kichwani haikutota. Unadhani inawezekanaje?
Jibu
Kwa sababu alikuwa na kipara.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina