Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO IWE FASTA.
tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa ipo SLOW sasa hebu tuone kwa ufupi mambo ambayo yatafaya simu yako iwe fasta ifanyae kazi kwa haraka zaidi.
Yapo mambo mengi yanayofanya simu yako iwe fasta ila kwa uchache nitakutajia mabo matano ambayo ni:-
1.Ondoa application zote ambazo hauzitumii hasahasa zile ambazo zinaonekana kuchukuwa nafasi kubwa katika simu yako. Unaweza kuzitowa kwa kufanya uninstallation eidha kwa kutumia installer au customer unistallation yaan manualy wewe mwenyewe.
2.Jambo la pili ni kufuta cached data hizi ni data zilizohifadhiwa katika simu yako kutoka katika tovuti yaan website au kutoka katika application. Data hizi zinasaidia simu yako ifunguwe tovuti ile bila ya kuload tena. Lengo kubwa la data hizi na kuokowa muda wa kuload pindi unapofunguwa kurasa ileile. Jinsi ya kufuta data hizi inategemea na menu ya simu yako ila unakwena SETTING kisha STOTAGE au APPLICATION kisha CLEAR CACHE. Au unaweza kutumia application za playstore kupata application za kufuta cache au bofya hapa kupata application hizo.
3.Ondowa animation na live background au wallpaper.
4.Restart simu yako. Kuiristat simu ni njia mbadala na ya ufasaha zaidi katika kuifanya simu yako iwe fasta. Na hii ni kwa sababu unaporesrart simu yako inaanza upya kufanya kazi kwani itakuwa imejirifreshi. Hivyo kitendo hiki kitaifanya simu yako iwe na spid.
5.Restore simu yako kwa kufanya factory reset. Hii ni hatuwa ya mwisho zaidi kama simu yako inaendelea kuwa ipo slow na njia zingine zieshindwa. Kureset simu kunahitaji umakini kwani unaweza ukapoteza baadhi ya data zako. Jinsi ya kurestore nenda SETTING kisha SECURITY kinsha RESTORE. Kama itasumbuwa pia unaweza kutumia application kutoka playstore kwa ajili ya factory reset, kwa mpano bofya hapa kupata application hizo.
Kwa ufupi haya ni machache ambayo yatakufanya kukusaidia kufanya simu yako iwe na speed katika kutuia.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Mengineyo Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 1077
Sponsored links
👉1
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉2
Kitabu cha Afya
👉3
Simulizi za Hadithi Audio
👉4
kitabu cha Simulizi
👉5
Madrasa kiganjani
👉6
Kitau cha Fiqh
Jifunze kupitia Bongoclass
Soma Zaidi...
nataka niunganishe namba yangu kwa mtu mwingne ili kama kuna sms nimetumiwa ianzie kwa huyo mtu
Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje? Soma Zaidi...
MAKTABA YA VIBABU KUTOKA BONGOCLASS
Soma Zaidi...
viumbe
MAAJABU YA VIUMBE 1. Soma Zaidi...
SAMAKI AINA YA SALMON
2. Soma Zaidi...
Tembo ni katika wanyama wenye kushangaza sana.
Tembo wana maajabu makubwa kama utazingatia kwa umakini umbo lake zuri. Soma Zaidi...
MAAJABU YA MBU
7. Soma Zaidi...
MNYAMA ANAYEKIMBIA ZAIDI YA WOTE
4. Soma Zaidi...