Nimonia ni Hali ya kuvimba pafu inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo Alveoli, husababishwa na Maambukizi ya virusi
Dalili za Nimonia
1.joto la mwili kushuka
2.kikohozi
3,mwili kuchoka
4.homa za mara kwa mara
Visababishi vya ugonjwa huu
-virusi
-baktaria
Walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu ni wafuatao.
-watoto wadogo chini ya miaka mitano hasa
-wazee
-ambao kinga zao ziko chini
-wavutaji wa sigara
-watumiaji wavilei vikali
Visababishi vya ugonjwa huu ni zifuatazo
1.bakteria
2.virusi
Namna ya kuepuka ugonjwa huu
1.kuepuka uvutaji wa sigara
2.kuachana na vileo vikali
3.kutumia vyakula vinavyoongeza kinga
4.kufanya mazoezi
Pamoja na kuwepo kwa ugonjwa huu tunapaswa kwenda hospitalini mara moja Ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1019
Sponsored links
๐1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
๐2 Kitau cha Fiqh
๐3 Simulizi za Hadithi Audio
๐4 Madrasa kiganjani
๐5 Kitabu cha Afya
๐6 kitabu cha Simulizi
Ugonjwa wa moyo.
Posti hii inaelezea kuhusiana na mambo hatari yanayosababisha ugonjwa wa moyo. Soma Zaidi...
Dalili za jeraha kali kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi dalili za jeraha kali kwenye ubongo, ni majeraha ambayo utokea kwenye ubongo pale ambapo mtu anapata ajali au amepigwa na kitu chochote kigumu kichwni, zifuatazo ni dalili za jeraha kali kwenye ubongo Soma Zaidi...
Vitu vinavyochochea kuwepo kwa Ugonjwa wa ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi vitu ambavyo vinasababisha kuongezeka kwa Ukimwi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na baada ya watu kujua Ugonjwa huu na matokeo ila bado ugonjwa unazidi kuongezeka. Soma Zaidi...
Mambo ambayo yanaweza kuongeza hatari ya Ugonjwa wa Homa ya ini yenye sumu.
Posti hii inazungumzia zaidi kuhusiana na Homa ya ini yenye sumu ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuguswa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, madawa ya kulevya au virutubisho vya lis Soma Zaidi...
IJUE HOMA YA CHIKUNGUNYA (CHIKV) DALILI ZAKE, TIBA YAKE, CHANJO YAKE, NA MBU ANAYESAMBAZA HOMA HII
Haya ni maradhi ambayo husambazwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu kwa kupitia mbu. Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya matiti na chuchu
Maumivu ya matiti yanaweza kuanzia kidogo hadi makali. Inaweza kukuathiri siku chache tu kwa mwezi, kwa mfano kabla tu ya kipindi chako, au inaweza kudumu kwa siku saba au zaidi kila mwezi. Maumivu ya matiti yanaweza kukuathiri kabla tu ya kipindi chako Soma Zaidi...
Dalili na ishara za Ugonjwa wa akili.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili . Soma Zaidi...
NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO
NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO Ili kugundua vidonda, daktari wako anaweza kwanza kuchukua historia ya matibabu na kufanya uchunguzi wa mwili. Soma Zaidi...
Sababu za Ugonjwa wa Shinikizo la juu la Damu.
Shinikizo la juu la damu ni hali ya kawaida ambapo nguvu ya muda mrefu ya damu dhidi ya kuta za ateri yako ni kubwa vya kutosha hivi kwamba inaweza kusababisha matatizo ya kiafya, kama vileรย Ugonjwa wa Moyo. Soma Zaidi...
VIDONDA VYA TUMBO NA ATHARI ZAKE
Soma Zaidi...
Kucha langu LA mguu linang'ooka...nini chaweza kuwa tatizo
Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo? Soma Zaidi...
Dalili za fangasi uken
Posti hii inahusu zaidi dalili za fangasi uken, hizi ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi uken. Soma Zaidi...