image

Ijue kazi ya homoni ya HCG wakati wa kupima mimba.

Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya HCG katika kupima mimba, HCG maana yake ni human chorionic gonadotropin ni homoni ambayo uonekanekana kwenye mkojo na damu kama mtu ana mimba.

Kazi ya homoni ya HCG wakati wa kupima mimba.

1.Human Chorionic Gonadotropin (HCG) ni mojawapo ya homoni ambayo usaida kutambua kama kuna mimba kwa Mama au msichana yeyote mwenye uwezo wa kubeba mimba, homoni hii uonekane kwenye mkojo na kwenye damu kwa siku tofauti tofauti.

 

2. Pindi mwanamke anapobeba mimba hiyo homoni uwapo kwenye mkojo baada ya siku ya kumi na nne mimba inaweza kuonekana kwa hiyo hili kuweza kuiona mimba hii mkojo upelekwa kwenye kipimo na Mimba uweza kuonekana kwa kuwepo kwa human chorionic gonadotropin homoni kwenye mkojo, kwa hiyo kwenye mkojo  panapaswa kutokuwepo na Maambukizi yoyote na protini inapaswa kutokuwepo kwa sababu kama kuna protini unaweza kusema kuna mimba kumbe hamna.

 

3.Na vile vile kwenye damu hii homoni ya human chorionic gonadotropin ipi ambapo inaweza kuonekana baada ya siku tisa mpaka kumi kama mtu ana mimba kwa hiyo na kwenye damu panapaswa kutokuwepo na Maambukizi yoyote kwa sababu yanaweza kufanya mimba isionekane au kuonekana kama imo huku Haimo.

 

4.Kwa hiyo kitu cha kujua wakati wa kupima mimba kwa kutumia mkojo au damu ili kuangalia human chorionic gonadotropin mtu anapaswa kutibu Magonjwa ambayo yanaleta maambukizi matokeo ya kuona mimba yskarenganishwa

 

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1832


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Dalili za uchungu
Uchungu wa uzazi hutokana na kubana nakuachia kwa misuli hii husababishwa kufunhuka kwa mlango wa tumbo la uzazi pamoja na shingo ya kizazi na kumuongezea mama uchungu wakati wa kujifungua(during labour) Pia kubana na kuachia huanza polepole wakati wa Soma Zaidi...

Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Posti hii inaelezea kuhusiana na nguvu za kiume zinavyopungua na Ni Mambo gani yanayofanya zipungue Soma Zaidi...

Hatua za ukuwaji was mimba na dalili zake
Somo hili linakwenda kukuletea hatua za ukuaji mimba na dalili zake Soma Zaidi...

Zifahamu sifa za mtoto mchanga.
Posti hii inahusu zaidi sifa ambazo mtoto mchanga anapaswa kuwa Nazo,ni sifa ambazo lazima zionekane kwa mtoto mchanga pale anapozaliwa na zikikosa ni lazima kuja kuwa mtoto ana matatizo mbalimbali kwa hiyo zifuatazo ni sifa za mtoto mchanga kama ifuatavy Soma Zaidi...

Hatari ya kutokwa na damu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hatari za kutokwa na damu wakati wa ujauzito, hali hii utokea wakati wa ujauzito ambapo Kuna baadhi ya wajawazito utokwa na damu jambo ambalo hatupaswi kutarajia kwa sababu tunafahamu kabisa mama akishapata ujauzito na damu zinakom Soma Zaidi...

Kazi ya metronidazole
Posti hii zaidi kazi ya Dawa ya metronidazole katika kutibu Minyoo, ni aina ya Dawa ambayo imetumiwa na watu wengi wakaweza kupona na kuepukana na minyoo. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za metronidazole. Soma Zaidi...

Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14 Soma Zaidi...

Dalili za kujifunguwa, na dalili za uchungu wa kujifunguwa
Nitajuwaje kama mjamzito amekaribia kujifunguwa, ni dalili gani anaonyesha, dalili za uchungu wa kujifunguwa Soma Zaidi...

Vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba
Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara. Soma Zaidi...

Madhara ya vidonge vya P2
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2, Soma Zaidi...

Dalili za Ujauzito mchanga Siku Saba Baada ya Ovulation
Unaweza kujiuliza ikiwa inawezekana kupata dalili za ujauzito mchanga kama siku 7 baada ya kudondoshwa kwa yai (DPO yaani Days Past Ovulation). Soma Zaidi...

Mambo yanayodhihirisha afya ya nguvu za kiume
Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume. Soma Zaidi...