Vyakula vya vitamini A na kazi zake
VYAKULA VYA VITAMINI A
- Maziwa
- Maini
- Karoti
- Machungwa
- Mchicha
- Kabichi
- Spinach
- Kisamvu
- Matango
- Mboga za majani
Kazi za vitamini A
- Husaidia katika kuimarisha afya katika mfumo wa upumuaji
- Husaidia kulinda afya ya amcho
- Pia huboresha mfumo w fahamu
- Tatizo la kutoona vyema na upofu huweza kusababishwa na upungufu wa vitamini A mwilini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 web hosting 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Vyakula vya madini, kazizake na athari za upungufu wa madini mwilini
Je ungependa kujuwa vyakula hivyo ama vyanzo vya madini? Na je ungependa kujuwa ni zipi hasa kazi za madini katika miili yetu?. makala hii ni kwa ajili yako, hapa utakwenda kujifunza mengi kuhusu somo hili.
Soma Zaidi...Dalili za ukosefu wa madini ya iodini (goiter)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za upungufu wa iodini ambapo kitaalamu hujulikana Kama goiter. Goiter Ni Sababu ya kawaida ya goiter duniani kote ni ukosefu wa iodini katika chakula. Nchini Marekani, ambako utumiaji wa chumvi yenye iodini ni j
Soma Zaidi...Faida za uyoga mwekundu
Posti hii inahusu zaidi faida kuhusu uyoga mwekundu ni uyoga unaopatikana katika sehemu mbalimbali na pia kuna waliofanikiwa kupandikiza na kuweza kuvuna ila uyoga huu una siri mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Kitabu cha Afya 02
Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini?
Soma Zaidi...