Faida za kula Tangawizi
tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
16.Tangaizi. Kiungo hiki mara mara nyingi hutumika kwenye chai. Pia hutumiwa kwenye mchuzi japo sio kawaida. Tangaizi hutibu maradhi mengi lakini ni mujarabu sana kwa tatizo la nguvu za kiume. Tutaizungumza vizuri tangaizi kwenye post zetu zijazo.
Tangaizi husaidia katika kuhakikisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula unafanya kazi kwa ufanisi. Husaidia katika uzalishaji wa mate pamoja na nyongo. Huongeza metablolic ndani ya utumbo. Pia tafiti zinaashiria kuwa tangawizi huweza kusaidia kukinga mwili na saratani ya utumbo.
Tangawizi husaidia katika kupunguza stress ikitumika kama kiungo cha chai, pia husaidia katika kusukuma chakula vizuri ndani ya tumbo, hupunguza tatizo la kutokwa na damu za pua. Pia tangawizi kuondoa maumivu na husaidia katika kuimarisha afya ya moyo.
Tangawizi ina 17.86 g of carbohydrate, 3.6 g of dietary fiber, 3.57 g of protein, 14 mg of sodium, 1.15 g of iron, 7.7 mg of vitamin C, na 33 mg of potassium
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 ai web app 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za kula bamia/okra
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kisamvu
Soma Zaidi...Vyakula vyenye madini kwa wingi
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye madini kwa wingi
Soma Zaidi...