picha

Faida za kula Nazi

Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako

Faida za kula Nazi

18.Nazi (coconut oil)
Kunatafiti zaidi ya 1500 zinathibitisha kuwa nazi ni katika matunda yenye afya kuliko matunda yote. Nazi ni katika vyakula vya fati na hutambulika kama medium-chain fatty acids (MCFAs). Ambapo mafuta ya nazi yapo katika aina tatu za fatty asidi ambazo ni Caprylic acid, Lauric acid na Capric acid. Asilimia 62 za mafuta ya nazi yametokana na aina hizi tatu.

Tafiti zinaonesha kuwa mafuta yaliyopo kwenye nazi ni salama kabisa na pia mwili unachukuwa muda mchache kuyameng’enya kuliko mafuta yanayopatikana kwenye minea mingine. Tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanapitia hatua kuu tatu tu katika kumeng’enywa wakati huo mafuta yatokayo kwenye mimea mingine yanapitia hatua 26 mpaka kumeng’enywa.

Ulaji wa nazi unasaidia katika kutibu afya ya ubongo pamoja na kuzuia ugonjwa kusahau (Alzheimer’s Disease). Tafiti zinaonesha kuwa ulaji wa aina hizi tatui za mafuta (fatty acid) hupelekea ini kutengeneza ketones. Ketones husaidia katika kuupa ubongo nguvu na afya na uwezo wa kufanya kazi vyema. Pia tafiti zinaonesha kuwa mafuta ya nazi hulinda mwili kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu la juu (high blood pressure)

Nazi hutibu UTI, ini na mashambulio kwenye figo. Tafiti zinaonesha lkuwa maji ya nazi yanaweza kutumika kuondoa vijiwe kwenye figo (kidney stones). Pia mafuta ya nazi yanaweza kuondoa na kuuwa bakteria waliop kwenye njia ya mkojo. Tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa mafuta ya nazi yanasaidia katika kulinda afya ya ini.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views 3457

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)

Soma Zaidi...
AINA KUU ZA VYAKULA: vyakula vya protini, wanga, fat na mafuta, vitamini, madini na maji

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula nyama

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI

Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako

Soma Zaidi...