Faida za kula limao

Faida za kula limao

Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Faida za kula limao

7.limao (lemon).
Ni katika matunda yenye uchachu na pia huwa na vitamini c vingi sana. Limau husaidia katika kufanya afya ya moyo kuwa madhubuti kwa kuwa husaidia katuka kupunguza mafuta ndani ya damu na kushusha shinikizo la damu.

Pia tafiti nyingine za kisayansi zinaonesha kuwa limau husaidia katika kuzuia ongezeko la uzito mwilini. Pia tafiti nyingine zimeonesha kuwa tunda hiliu husaidia katika kuzuia tatizo la kidney stones yaani mawemawe yanayokaa kwenye figo.


                   

Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1000

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula maboga
Faida za kiafya za kula maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...
Nazi (coconut oil)
Nazi (coconut oil)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi

Soma Zaidi...
Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini
Fahamu kuhusu maji, kazizake mwilini na athari za upungufu wake mwilini

Hpa utafahamu faida za maji mwilini pamoja na athari za upungufu wa maji mwilini na dalili zake

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula spinach
Faida za kiafya za kula spinach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula spinach

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula passion
Faida za kiafya za kula passion

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion

Soma Zaidi...
Nanasi (pineapple)
Nanasi (pineapple)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kula nanasi

Soma Zaidi...
Faida za kafya za kula asali
Faida za kafya za kula asali

Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali

Soma Zaidi...