Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake.


Kama tulivyokwisha kuona kuwa historia ya Waasi ilianza zamani toka wakati mtume akiwa hai akipambana na mayahudi, manasara, na makafiri wakishirikiana na kundi la wanafiki. Katika kurasa zijazo tutekwenda kuona jinsi uasi huu ulivyotokea, nini hasa chimbuko lake na wapi walikuwa ni wahusika zaidi.


Uasi huu uliweza kusababisha umwagaji wa damu za Waislamu. Uasi huu pia ulipelekea upotevu wa mali na haki katika jamii iliyokuwa na misingi thabiti na imara iliyoachwa na Mtume wa Allah.


Uasi huu ulipeleke matokea mabaya kama:


1. Vita vya enyewe kwa wenyewe


2. kuuliwa kwa makhalifa


3. Haki kutotekelezwa


4. Kuanzishwa kwa tawala za Kifalme na kathalika