Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela
USULUHISHAJI WA WALODHULUMIWA.
Basi baada ya kusikiliza hadithi hizi mfalme akaanza usuluhishi na kumwambia Zubeidah achome huo unywele ili amuite jini binti mfalme. Basi Zubeidah akauchoma huo unywele na baada ya punde akaja jini yule na mfalme akataka msamaha kwa mabinti walogeuzwa mbwa, basi akawambwagia maji na wakageuka kuwa watu. Pia bint mfalme akazungumza kuwa alomfanyia unyama Amina ni mwanao mwenyewe ewe mfalme ni kuwa mtoto wako alimpenda Amina na kumposa na ndoa aliifanya kwa siri na hatimaye mambo yakawa hivyo. Basi jini akaondoka.
Mfalme akamuita mwanae na kumuuliza yalotokea na akamjibu kama mambo yalivyo elezwa. Basi akatoa amri mrejee mkewe na kisha Zubeidah ana dada zake akawaozesha kwa wale machongo watatu na yeye mwenyewe mfalme akamuoa Sadie. Inasemekana ndoa zao zilikuwa ni za upendo wa hali ya juu na hakukutokea ugomvi mpaka Allah akapitisha amri yake.
Baada ya Schehra-zade kumaliza kusimulia hadithi hii Dinar-zade alifurahi sana. Lakini furaha hii haikumzidi sultani. Hapo Schehra-zade akamwambia basi hadithi hii haifiki hadithi ya Sinbad mwenda baharini. Sultani akuliza ni kipi kilompata sinbad mwenda baharini hata hadithi yake ikawa nzuri hivyo? Hapo Schehra-zade akaanza kusimulia hadithi hii;-
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
SAFARI SABA ZA SINBADKatika nchi ya Baghdad kulikuwepo na kijana aliyejulikana kama Sinbad mbeba mizigo.
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa SAFARI YA SABA YA SINBAD Walipokusanyika siku ilofata Sinbad akawaambia kuwa kilichofanya nikavunja ahadi yangu ya kutosafiri tena ni kauli ya Sultani Nilipopunzika kwa muda wa miezi miwili nilipata habari kuwa Sultani
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa KUTOKA KWENYE KISIMA MPAKA KUWA MFALME.
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa KISIWA CHA UOKOZI Nikajisogeza vyema hata nikafika kwenye kivuli.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YA CHONGO WA TATU MTOTO WA MFALME Mimi ni mtoto wa mfalme kama nilivyotangulia kusema na ni mtoto wa kipekee kwa baba na mama.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela
Soma Zaidi...