Umuhimu na msisitizowa zakat na sadaqat katika uislamu

Umuhimu na msisitizowa zakat na sadaqat katika uislamu

Nguzo za uislamu,umuhimu na msisitizowa zakat na sadaqat katika uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Zakat ni nguzo ya tatu ya Uislamu.
  2. Kutoa zakat na Sadaka ni amri ya Mwenyezi Mungu (s.w).

Rejea Qur’an (14:31) na (2:254).

 

  1. Kutoa Zakat ndio kitambulisho cha Uislamu na Ucha-Mungu wa mtu.

Rejea Qur’an (9:11) na (2:2-3).

  1. Kutoa Zakat na sadaka ni sababu ya mtu kufaulu Duniani na Akhera.

Rejea Qur’an (2:2-3), (23:1-4), (22:34-45) na (2:262,274).

 

  1. Kutotoa Zakat na Sadaka ni sababu ya kuangamia mtu Duniani na Akhera.

Rejea Qur’an (9:34-35), (92:8-10) na (3:180).

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 2417

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 web hosting     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Zoezi la nne mada ya fiqh.

Maswali mbalimbali kuhusu fiqh.

Soma Zaidi...
Haki za maadui katika vita (mateka wa kivita)

Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Je ni zipi nguzo za uislamu, na ni ngapi nguzo za uislamu?

Post hii itakujuza maana ya uislamu na nguzo zake.

Soma Zaidi...