TATIZO LA KUNYONYOKA KWA NYWELE
Tatizo la kunyonyoka ama kupotea kwa nywele linaweza kuwa sio shida sana ya kiafya. Ila hutokea ikawa ni ishara mbaya kulingana na hali ambazo nywele zitakuwa zinanyonyoka. Je na wewe ni mmoja ya katika ambao nywele zao zinanyonyoka? Makala hii ni kwa ajili yako. Hapa tutaangalia kwa ufupi tu sababu ambazo hupelekea nywele kunyonyoka.
Sababu za kutoka nyeleni nyingi Hi vyema ukafika hospiali kwa uchunguzi. Miongoni mwa sababu zake ni kama:-
1.Unaweza kurithi tatizo hili kutoka kwnye ukoo wako
2. Hutokea mfumo wa kinga wenyewe ukaanza kushambulia mfumo wa nywele. Mpaka sasa haijulikani nini hasa kinasababisha hali hii.
3. Pia stress huchangi
4. Namna mtu anavyotunza nywele, hasa kama unazitia rangi ama kuzibadili uhalisia, hii inaweza kupeleke kutoka nywele baadaye
5. Mvurugiko wa himoni (hormone imbalance)
6. Infection kwenye ngozi ya kichwa yaani kuwa na mashambulizi ya bakteria kwenye ngozi ya kichwa.
7. Aleji unaweza kuwa na aleji ya dawa ama vitu flani ambavyo ukitumia nywele hunyonyoka
8. umri, kwa kuwa uotaji wa nyele hupunguwa kadiri umri unayokwenda hinyo hutokea baadhi ya watu kila uzee unapokweda na nywele hupunguwa.
9. Majeraha kwenye ngozi ya kichwa. Hutokea mtu mwenye makovu na majeraha nywele zikashindwa kuota maeneo yake.