Menu



Simulizi za Hadithi EP 10 Part 5: Safari ya kwenda nyumbani

Muendelezo....

SAFARI YA KURUDI NYUMBANI

Kamaralzamani siku hiyo akamfuata baba mkwe wake na kmueleza ukweli wa mambo na kuwa yeye si mganga. Historia hii ilibidi iandikwe kwa wino wa dhahabu na ihifadhiwe kwenye kumbukumbu za kifalme. Mfalme alifurahi sana baada y akusikia kuwa Kamaralzamani alikuwa ni mtoto wa mfalme wa nchi ya Peshia. Basi baada ya mazungumzo Kamaralzamani akaomba apewe ruhusa ya kwenda nyumbani kwenda kuwaona wazazi. Hakukuwa na kipingamizi kwa upande wa sultani hivyo akawakubalia waende ila alipenda zaidi warudi wote kwa pamoja.

 

 

Safari ikaanza kutoka nchi za mbali kuelekea Peshia. Wakiwa kwenye gaei la kuendeshwa na farasi wawili, kijumba kidogo kilichobeba watu wawili kilikuwa kikikokotwa taratibu. Kwenye kidole kimoja kati ya kila mmoja kuna pete yenye kupendeza sana. Shingoni mwa binti sultani kulikuwa na mkufu wenye cheni ya dhahabu lakini ua kifurushi kinning;inia. Unaweza kusema ni kijiwe chenye thamani sana lakini ukweli wa mambo kuna siri nzito ndani yake. Wawili hawa walikwenda hata siku inaisha wakalala na siku inayofaa ikaisha wakalala tena. Kutoka kwao mpaja Peshia wataweza kuchukuwa mwendowa mwezi mmoja kutokana na mwendo wao.

 

 

Siku ya 6 ya safari walipumzika chini ya mti wakati wa jioni. Kamaralzamani akiwa anamsifia mewe aliyelala uzuri wake. Ghafla akataka kujuwa kuna nini kwenye kile kifurushi kilicho kwenye shingo ya binti sultani. Alipomvua kwa upole sasa wakati anakiangalia akaja panya na kukibeba akizani ni nyama ama chakula. Panya yule alitoka nje ya hema na kuelekea msituni. Kamaralzamani akiwa anamfarilia panya yule ghafla panya akabebwa na bund. Kamaralzamani akawa sasa anamkimbiza bundi ambaye alimeza kale kafurushi alipokuwa anajaribu kumla panya. Kamaralzamani akiwa anamkimbiza pundi ghafla budi yule aling’atwa na nyoka aliwa juu ya mti. Alipoangauka alibebwa na kunguru mmoja mkubwa sana. Ukubwa wa knguru huyu si wa kawaida.

 

 

Bundi alianza kuliwa. Kamaralzamani hakuweza kufanya kitu maana alipomchukuwa akakwea ne juu sana ya mtu. Sasa Kamaralzamani akasubiri chini ya mti eidha mkufu uanguke ama atakaposhiba ataweza kumpata. Kwa kuwa kunguru anapeda kula utumbo kuliko nyama, aliweza kuumeza mkufu na kuanguasha chini mzoga mtupu. Sasa Kamaralzamani akawa anamkimbiza kunguru. Usiku ukaingia wote wakalala kunguru juu ya mti na kamaralzamani chini. Aubuhi kamaralzamani akaanza kumtafuta tena na kuendelea kumkimbiza. Hadi alipokata tamaa akakumbuka kumbe alikuwa akisafiri na binti sultani. Loo hakuwa na la kufanya na hata njia aliisahau.

 

 

Loo kamaralzamani yupo matatizoni sasa. Akaanza japo kutafuta pa kutokea baada ya mwendo wa siku moja na nusu mcha na akakuta kuna kijiji karibu. Akaona kuna nyumba ipo pale. Akapiga hodi na kuanza kujieleza alipotoka na anapokwenda. Yule mzee aliyemlkuta kwenye kibanda kle akamueleza kuwa kutoka hapa mpaka huko unakokusema ni mwendo wa mwezi, na hakuna njia zaidi ya kupitia baharini. Na hapa tulipo dau la kwenda huko kuja kila baada ya mwaka mmoja. Hivyo kwenda huko usubiri mpaka mwaka uingi emaana dau limeondoka yapata siku tatu nyuma.

 

 

Kwa hali hii kamaralzamani alianza kuishi kwa huyu mzee maisha mapya. Kwa upande wa binti sultani aliweza kumsubiri kamaralzamani pela kwa siku mbili. Aliogunduwa kuwa mumewe hayupo hakutaka watu waelewe siri ile. Basi kwa kuwa walikuwa wakifanana aliachukuwa nguo za mumewe na kuzivaa. Alikuwa kama vile yeye ndie Kamaralzammani. Safari ikaanza. Kale kafurushi kalikuwa ni hirizi aliyopewa na mmoja kati ya waganga na akamwambia ukikapoteza kahirizi haka ujuwe hutoweza kuishi maisha ya furaha kamwe. Na hii ndio sababu ya kuwa alikuwa akikavaa kahirizi kale huku watu wakajuwa ni mkufu. Sasa kahirizi hakapo tena na mumewe hauypo tena wapi atapata furaha?

 

 

Walipofika kisiwa cha Serendib wakaomba kuvushwa. Ilikuwa ni lazima uruhusiwe na mfalme ama waziri ama kwa ushahidi maalumu ndio utoke nje ya kisiwa hiki. Hakuna njia ya mkato ila mpaka ukatishe kisiwa hii. Siku hiyo mfalme wa kisiwa hiki alikuwa akitembea maeneo ya baharini. Mfalme huyu alikuwa naye hana mtoto wa kiume na ana wa kike mmoja tu. Siku zote alikuwa akimtaka mwanae aolewe lakini mtoto hakutaka kuolewa. Mtoto stori yake ni kama wenzie alitaka mchumba ambaye atakuwa anampenda yeye na si kwa sababu ya madaraka ya baba. Hivyo alikuwa kila akiletewa mchumba hakubali. Naye ikafikia hatuwa ya kufungiwa ndani.

Download app yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download

Download Now Bongoclass

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Mankaa image Tarehe 2024-09-10 15:11:31 Topic: Simulizi za Hadithi Main: Masomo File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Views 235


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 11: Ndani mwa junba la Aladini
Muendelezo.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 4 Part 19: Mfalme na waziri wake
Hadithi hii inapatikana katika kitabu cha kwanza cha hadithi za HALIF LELA U LELA..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 7: Upendo uliotafsiriwa
Muendelezo.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 6 Part 18: Hadithi ya fundi cherehani
Hadithi za HALIF LELA U LELA kitabu cha pili..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 3 Part 3: Kisa cha mke na kasuku
Simulizi za HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza simulizii hii inasimulia kisa cha mke na Kahuku wake.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 5 Part 3: Uokozi kwenye kisiwa
Hadithi za HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza...... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 4 Part 4: Simulizi ya chongo wa kwanza mtoto wa Mfalme
Tusikilizie simulizii inahusu chongo wa kwanza wa mtoto wa mfalme iliyopo ndani ya kitabu cha kwanza cha Hadithi za HALIF LELA U LELA..... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 5 Part 16: Hadithi ya safari ya saba ya Sinbad
Muendelezo wa safari ya Sinbad....... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 2 Part 4: Hadithi ya mzee wa tatu na mbwa wake mwekundu.
Hadithi za HALIF LELA U LELA hii ni moja wapo imetoka katika kitabu cha kwanza imaelezea kisa cha mzee wa tatu.... Soma Zaidi...

Simulizi za Hadithi EP 7 Part 4: Mshenga wa Aladini
Muendelezo.... Soma Zaidi...