Simulizi za Hadithi EP 10 Part 6: Ndoa ya pili
Muendelezo....
NDOA YA UTATA KISIWANI
Mfalmee wa serendib alipouona msafara ule alivutiwa sana. Alitamani kijana yule awe mkwe wake. Mfalme aliamini kuwa mtoto wake hata kataa. Lakini mfalme alikuwa akijiuliza je kama ni masikini si mawaziri watanicheka. Mfalme alikuwa anatarajia awe mtoto wa waziri ama awe ni mtoto wa tajiri yeyote angalau aendane na mwanaye. Sasa kwa kuwa mfalme leo yupo pale hakuna haja ya kuomba ruhusa kwa mlolongo. Mke wa Kamaralzamani aliyejifanya ndie kamaralzamani mwenyewe akapiga goti mbele ya mfalme na kujieleza kuwa yeye n mtoot wa mfalme wa peshia naomba ruhusa ya kakatiza kwenye kisiwa chako.
Mfalme alistaajabi kwa kuraha kuona sasa amepata mkwe. Kumbe ni mtoto wa mfalme. Akaagiza aletewe kijana huyo kwenye kumbi za kifalme wapate chakula pamoja. Halikuwa jambo gumu kwani watu wote walizania bibie nurat ni yupo kwenye gari la farasi na huyu ndie kamaralzamani mwenyewe. Katika ukumbi wa kunywea chai, binti wa mfalme wa Serendib naye aliitwa kwa siri kuja kunawisha wageni. Lengo la mfalme ni kutaka kukutanisha watu hawa. Basi viti vikapangwa vyema, wageni wakaingia kwa ajili ya chakula. Bibie Nurat akawadanganya watu wake walinde gari la farasi na haruhusi mtu kuchungulia kwani mtoto wa Mfalme yumo mule.
Katika ukumbi wa chai, binti mfalme wa serendib Naira Khan alishindwa kutembea kwa mshangao. Hivi kumbe kuna wanaume wazuri hivi. Alishangaa sana, aliamuwa kurudi ndani kwa haraka na kuanza kujiwazia. Baba aligunduuwa hali hiyo na kuomba wageni wake waendelee. Moja kwa moja akaenda kwa bint yake na kumwambia “Mwanangu Naira nimekuletea mchumba je umekubwali”. naira Khan alimrukia baba yake na kumkumbatia kwa furaha “baba nimekubali nataka hata iwe sasa hivi”. baada ya mazungumzo mfalme akarudi kwa wageni wake. Chai ilipoisha akaomba kuzungumza na kamaralzamani faragha. Mazungumzo yako yalikuwa ni mfalme kumuomba Kamaralzamani awe mkwe wake. Kila bibie Mtaotao wa Sulatania lipokuwa anajaribu kukataa alishindwa. Hovyo kumsitiri mume wake aliubali. Wakati huo mfalme hakujuwa kabisa kuwa anayeongea nae ni mwanamke na si mwanaume.
Hali ikawa hivyo , Nurat mtoto wa Sultani wa nchi za chini alipata awazo kuwa alipopote;lea mume wake sio mbali sana na pale. Hivyo akiwa na madaraka maeneo yale itakuwa ni rahisi kwake limtafira mume wake popote alipo. Maana mumwe wake asingeweza kwenda Peshia bila ya kupita pale. Basi ilibidi afanye makubaliano na nairat mtoto wa mfalme wa Srendib. Alimueleza kila kitu na kumwambia kuwa jinsi anavyomuona yeye ndivyo alivyo Kamaralzamani. Kuthibitisha kauli hii watu wote pale walikuwa hawajui kuwa Kamaralazamani mwenyewe hayupo pale. Basi walifanya makubalianao ya doa kuwa Nairat atakuwa mke mdogo pindi kamaralzamani atakapopatikana, pia walikubaliana kuwa kwa pamoja watalinda siri ile mpaka atakapokuja mwenyewe. Walikubaliana mambo mengine kadhaa.
Basi baada ua kwenda Peshia walibalia pale Serendib na kufanya nmdoa ya kifahari kubwa sana katika kamaralzamani wa uongo na Nairat bint mfalme wa Serendib. Watu mbalibali walihudhuria katika shnguli hii ya harusi. Ni miezi 6 sasa imepita bila ya taarifa zozote za Kamaralzamani. Mfalme wa Serendib akaanza kumuuliza mwannembona mapaka sasa hawajapata mtoto. Maswali haya yalikuwa yakimuumiza sana lakini aliheshimu makubaliano yao. Kwa upande wa kamaralzamani alikuwa muadilifu na mtiifu sana wa yule mzee anayeishi kwake. Aliweza kufaya kazi zotezakutunza bostani la matunda na kwenda kuuza matunda.
Siku moja akiwa kwenye bostani ghafla akaona kunguru wawili wakipigana. Ilikuwa ni ugomvi mkubwa sana ambao hakupatapo kuuona. Kunguru wale walipigana hata mmoja akafariki. Alipofariki yule mmoja akawa anamtoboa mwenzie
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 web hosting 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Simulizi za Hadithi EP 4 Part 17: Hadithi ya Malipo ya wema ni wema
Mwendelezo wa hadithi za HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza.....
Soma Zaidi...Simulizi za Hadithi EP 5 Part 17: Ufupisho wa ALIFU LELA U LELA KITABU CHA KWANZA
Huu ni ufupisho mfupi kuhusiana na kitabu cha kwanza cha hadithi za HALIF LELA U LELA...
Soma Zaidi...Simulizi za Hadithi EP 2 Part 1: Hadithi ya jini na mfanya biashara.
Hadithi hii ya jina na mfanya biashara imetoka katika kitabu cha kwanza cha simulizi za HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza karibu tusikilize simulizi nzuri na zakusisimua
Soma Zaidi...Simulizi za Hadithi EP 2 Part 2: Hadithi ya mzee wa kwanza na mbuzi wake
Simulizi za HALIF LELA U LELA zipo nyingi sana na husikiliwa na kusomwa na wakubwa kwa wadogo pia hadithi hizi zimeenea duniani Kate zikisikilizwa na maelfu ya watu mbalimbali.
Soma Zaidi...Simulizi za Hadithi EP 1 Part 2: Simulizi ya kisa cha mfugaji na mkewe
Simulizii hii ni inatoka katika kitabu cha kwanza cha HALIF LELA U LELA
Soma Zaidi...Simulizi za Hadithi EP 5 Part 15: Hadithi ya safari ya Sinbad
Hadithi za HALIF LELA U LELA kitabu cha kwanza muendelezo....
Soma Zaidi...