picha

Waliomshambulia na kumuuwa Ali, makhawariji na si muawiya

Waliomshambulia na kumuuwa Ali, makhawariji na si muawiya

Watu waliomshambulia sayidna ali



Namba ya swali 008

Waliomshambulia Sayidna Ali na kumuuwa walikuwa ni makhawariji. Tafadhali soma makala hapo chini ufahamu zaidi bofya hapa



Namba ya swali 001

Mtume alifurahia ushauri wa Nani katika Vita vya uhudi



Namba ya swali 001

Ungefaganua kidogo swali, ulikuwa ushauti katika maswala gani?



Namba ya swali 001

Katika uchimbaji wa handaki



Namba ya swali 001

Hivi havikuwa vita vya uhudi ila vilikuwa ni vita vya handaki



Namba ya swali 001

Aliyetoa ushauri wa kucjimba mahandaki alikuwa ni Salman al Fatis, Hivyo Mtume aliipenda rai hii ya kuchimba Mahandaki



Namba ya swali 001

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1195

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 web hosting   

Post zinazofanana: