je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.

je..! naweza kuambukizwa fangasi kwa kujamiiana na mtu mwenye fangasi?

Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.lakin wew ukawa hauna maambukizi unaweza ukaambukinza hao fangasi???



Namba ya swali 060

Aina ipi uliyokusudia



Namba ya swali 060

Ya fangasi wa mdomn ambao huwapata hasa wale weny MAAMBUKIZI YA HIV



Namba ya swali 060

Yes unaweza kupata hawa fangasi. Ila hili halimaanishi utaumwa kama yule aliyekupa. Ni kwa sababu ili fangasi wasababishe madhara lazima wakutane na mazingira wanayoyataka kule wanakokwenda



Namba ya swali 060

Ooh sawa...asante kwakunifahamisha..na pia kama mtu akapatwa natatizo la kolodani moja kuvimba nakujiskia maumivu niugonjwa gani na pia husababishwa nan



Namba ya swali 060

Ok Kwa maimivu hayo sio shida sana kiafya kama sio makali sana kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zako, na yataondoka hivi punde. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu
1. UTI 2.
Shughuli
3. Kama mishipa i.ejibana hasa wakati wa kulala, ama kufanya shighuli
4. Huyokea pia kama kuna bakteria



Namba ya swali 060

Nilipoend hospital nimepew dawa ya piroxicam zakunya nasindano 5 asa nikawa cjui tatiz limetokana nann na linaitwaje ndoman nikajalibu kufatilia gugo nandpo nilipo pata mawasilian nawwe



Namba ya swali 060
-->

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 3970

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
πŸ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game     πŸ‘‰2 Simulizi za Hadithi Audio     πŸ‘‰3 Madrasa kiganjani     πŸ‘‰4 web hosting     πŸ‘‰5 kitabu cha Simulizi     πŸ‘‰6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Kikohozi kikavu: Chanzo chake na dawa za asili za kutibu.

Kikohozi kikavu ni tatizo linaloathiri mfumo wa upumuaji bila kuzalisha makohozi, mara nyingi likisababishwa na mzio (allergies), maambukizi ya virusi, au asidi ya tumbo kupanda kooni (GERD). Makala haya ya kina yanachambua vyanzo vikuu vya kitaalamu vya changamoto hii na kuorodhesha tiba 6 za asili zilizothibitishwa kisayansi kama vile asali, tangawizi, na binzari. Pia, utajifunza ishara hatari zinazohitaji uononaji wa daktari na ukweli wa kimatibabu kuhusu kikohozi kupitia sehemu ya "Je, Wajua?".

Soma Zaidi...
Dalili za Mgonjwa wa kisukari

Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.

Soma Zaidi...
Nini sababu ya kuchubuka midomo na kuwa myeupe

Kama una tatizo la midomo kuchubuka na kuwa myeupe ama kuwa na vidonda. Post hii inakwenda kuangalia swala hili.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa watoto chini ya miaka mitano (UTI)

posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra. UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m

Soma Zaidi...
Naomb niulize ukiingiliana na mwanmke mweny ukimwi unaweza kuambikizwa na kusaambaaa kwa mda gan ndan ya mwil

Muda gani ukimwi huweza kuonekana mwilini ama kugundulika kama umeathirika, ni dalili zipo hujitokeza punde tu utakapoathirika

Soma Zaidi...
Kiungulia na tiba zake kwa wajawazito.

Posti hii inahusu kiungulia kwa wanawake wajawazito na tiba yake, ni ugonjwa au hali inayowapata wajawazito walio wengi kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito.

Soma Zaidi...