Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.

Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.

Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.

Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.

Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.



Namba ya swali 051

Wa kike ama kiume?



Namba ya swali 051

Wakike



Namba ya swali 051

Amepima ujauzito?



Namba ya swali 051

Ndio hana



Namba ya swali 051

Huwa anasumbuliwa na presha?



Namba ya swali 051

Mara chache uwa imashuka



Namba ya swali 051

Ameshawahi kusumbuliwa na shida nyingine ya kiafya hivi karibuni?



Namba ya swali 051

Vidonda vya tumbo



Namba ya swali 051

Vidonda vya tumbo vinaweza kuwa ndio sababu za shida yake, maana hozo ulizotaja ni baadhi pia ya daili za vidonda vya tumbo.

Fikeni hospitali kwa vipimo zaidi



Namba ya swali 051

Ok tutakwenda, Ahsante



Namba ya swali 051

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 5718

Share On:

Share follows: 1 | Unique share links followed: 1
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 ai web app     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Ugonjwa wa Uvimbe kwenye ubongo

Posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe au puto katika mshipa wa damu kwenye ubongo. Uvimbe kwenye Ubongo unaweza kuvuja au kupasuka, na kusababisha kuvuja damu kwenye ubongo. Mara nyingi, kupasuka kwa Uvimbe wa Ubongo hutokea katika nafasi kati

Soma Zaidi...
MATIBABU YA FANGASI

Karibia fangasi wote hawa wanatibika bila ya ugumu wowote maka mgonjwa atakamilisha dozi.

Soma Zaidi...
Homa ya manjano, dalili za homa ya manjano na namna ya kujikinga na homa ya manjano

HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu.

Soma Zaidi...
Kwa nini kung’atwa na mbu hakuambukizi UKIMWI?

Ingawa mbu hunyonya damu kwa binadamu, hawana uwezo wa kueneza virusi vya UKIMWI (VVU). Sababu ni kwamba virusi vya VVU haviwezi kuishi wala kuzaliana ndani ya mwili wa mbu, na pia mbu hawaingizi damu ya mtu mmoja kwa mwingine wanapong’ata.

Soma Zaidi...
Kivimba kwa mishipa ya Damu

Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa mishipa yako ya damu. Inasababisha mabadiliko katika kuta za mishipa ya damu, ikiwa ni pamoja na kuimarisha, kudhoofisha, kupungua na kupungua. Mabadiliko haya huzuia mtiririko wa damu, na kusababi

Soma Zaidi...
Aina za saratani ( cancer)

Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.

Soma Zaidi...