kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo

kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo

habari samahani nimesoma page yako on line naomba kuuliza swali



Namba ya swali 036

Karibu



Namba ya swali 036

ok naomba kujuwa kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa namasundosundo



Namba ya swali 036

Virus wakiingia mwilini seli hai nyeupe huanza kupambana mapema sana. Seli hizi zinapatikana sana kwenye mfumo wa limfu. Mfumo huu pia husaidia katika kupambana na virusi na bakteria. Tezi za limfu zinapatikana maeneo ya makwapani, mapajani, na shingoni. Sasa endapo mapambano yakiwa makali zaidi tezi hizi huvimba na kuleta maumivu kama ishara ya kupambana kwake. Ndio maana kuvimva kwa tezi ni dalili za awali kuwa kuna virusi.



Namba ya swali 036

Yes unaweza kuathirika na usipate dalili hizi, kina watu wanaathirika na hawaonyeshi dalili yeyote ile



Namba ya swali 036
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1030

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana:

Fahamu Ugonjwa wa kaswende

Kaswende ni maambukizo ya bakteria ambayo kawaida huenezwa kwa kujamiiana. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kawaida kwenye sehemu zako za siri, puru au mdomo. Kaswende huenea kutoka kwa mtu hadi mtu kupitia ngozi. Kaswende ya Mapema

Soma Zaidi...
Dalili za madhara ya figo

Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.

Soma Zaidi...
Matatizo yanayosababisha mshtuko wa moyo.

Mshtuko wa moyo hutokea wakati mtiririko wa damu kwa moyo umezuiwa, mara nyingi kwa mkusanyiko wa mafuta, cholesterol na vitu vingine, ambayo huunda plaque katika mishipa inayolisha moyo (mishipa ya moyo). Mtiririko wa damu ulioingiliwa unaweza kuharibu

Soma Zaidi...
vidonda vya tumbo, dalili zake, chanzo chake na tiba yake

Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake, ni zipi njia za kujilinda dhidi ya vidonda vya tumbo. Pia tutaangalia matibabu ya kutibi vidonda vya tumbo.

Soma Zaidi...
Dalili kuu za Malaria mwilini

Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelesi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria

Soma Zaidi...
Sasa UKIMWI unatokeaje?

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea

Soma Zaidi...
Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni

Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i

Soma Zaidi...
DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO

DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO Dawa za kukabiliana na zaidi ambazo zina calcium carbonate (Tums, Rolaids), zinaweza kusaidia kutibu vidonda vya tumbo lakini hazipaswi kutumiwa kama matibabu ya msingi.

Soma Zaidi...