ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini

ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini

ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini

Naomba kujua ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini

Pia na mume wangu sehemu ya juu ya uume psmevimba, mchubuko na panawasha je tatizo Ni nini



Namba ya swali 035

Kuna mashambulizi ya fangasi ama bakteria.



Namba ya swali 035

Unatushauri nini ama tutumie dawa gani?



Namba ya swali 035

Fikeni kituo cha afya, mpate vipimo, baada ya kutambulika kama ni FANGASI AMA BAKTERIA mtapewa dawa mahususi. Katu musiishie duka la dawa bila kupata vipimo



Namba ya swali 035

Bakteria husababishwa na nini



Namba ya swali 035

Bakteria wanaweza kuwa wameingia kama UTI ama kushiriki tendo la ndoa na kadhalika. Ama PID



Namba ya swali 035

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2503

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 web hosting     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Mimba iliyotunga nje

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mimba iliyotunga nje na madhara yake kiafya

Soma Zaidi...
Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.

Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.

Soma Zaidi...
Tiba mbadala ya fangasi wa uumeni

Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala ya fangasi wa uumeni

Soma Zaidi...
Maumivu ya mgongo kwa wajawazito: Chanzo chake.

Maumivu ya mgongo ni mojawapo ya changamoto za kawaida zinazowakumba wanawake wengi wakati wa ujauzito. Ingawa mara nyingi ni hali ya kawaida inayotokana na mabadiliko ya mwili, inaweza kuleta usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Makala hii inaangazia vyanzo vya maumivu haya na jinsi unavyoweza kuyapunguza ili kupata kipindi cha ujauzito kilicho na utulivu.

Soma Zaidi...
Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids): Dalili, ukubwa na tiba yake.

Uvimbe kwenye kizazi, unaojulikana kitaalamu kama Uterine Fibroids au Leiomyomas, ni hali ya kawaida ambapo uvimbe usio wa kansa hukua kwenye misuli ya mji wa mimba. Hali hii huwapata wanawake wengi katika umri wa kuzaa. Ingawa uvimbe huu mara nyingi si hatari, unaweza kusababisha usumbufu mkubwa na changamoto za uzazi. Makala hii inaangazia sifa za uvimbe huu, jinsi ya kuutambua, na mbinu za matibabu

Soma Zaidi...