Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa

Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa wakati numepewa dawa uyamwezimmoja



Namba ya swali 022

Ni ya kupanda ama kushuka?



Namba ya swali 022

Ni ya kupanda



Namba ya swali 022

Hakikisha unafata maelekezo vyema. Pia epuka kula vyakula kama vyenye chumvi nyingi, Punguza unywaji wa pombe na sigara kama unatumia, Punguza misongo ya mawazo kama unayo. Pia fanya mazoezi. Kujuwa zaidi kuhusu presha ya kupanda Bofya hapaa



Namba ya swali 022

Nashukuru



Namba ya swali 022

Karibu tena



Namba ya swali 022

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 905

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Simulizi za Hadithi Audio    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

Dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake

Somo hili linakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanawake

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa UTI

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI

Soma Zaidi...
VIPI VIDONDA VYA TUMBO VINATOKEA

VIPI VIDONDA VYA TUMBO VINATOKEA 1.

Soma Zaidi...
Madhara ya kushindwa kupitisha mkojo.

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.

Soma Zaidi...
Dalili za Mgonjwa wa kisukari

Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.

Soma Zaidi...
Ishara na dalilili za Mtoto mwenye kuhara

postii hii inazungumzia dalilili za Mtoto mwenye Kuhara. Kuhara maana yake ni kutokwa na kinyesi chenye maji matatu au zaidi, pamoja na au bila damu ndani ya masaa 24. Kuhara kunaweza kusababishwa na maambukizo ya bakteria na virusi, ugonjwa wa matumb

Soma Zaidi...
Shida ya kifua kubana inaweza kuwa dalili ya maambukizi ya ukimwi

Kubana kwa kifuwa ni katika hali ambazo si naweza kuhatarisha maisha. Huwenda kuwa ni miongoni mwa dalili za magonjwa mengi. Je unadhani na HIv na UKIMWI ni moja ya magonjwa hayo?

Soma Zaidi...
Maambukizi ya tezi za mate

Psti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Maambukizi ya tezi za mate ambao hujulikana Kama MABUSHA (mumps) ni maambukizi ya virusi ambayo kimsingi huathiri tezi mojawapo ya jozi tatu za tezi za mate zinazotoa mate, zilizo chini na mbele ya masikio

Soma Zaidi...