Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani

Dokta samahani nina swali langu eti



Namba ya swali 013

Uliza tuu, bila samahani



Namba ya swali 013

Je dalili za kisonono au gonoria kwa mwanamke huonekana baada ya mda gani



Namba ya swali 013

Inachukuwa siku moja mpaka 10. Kwa kawaida hasa kwa wanaume ni siku 5 mpaka 10. Hata hivyo inaweza fika mpaka siku 30. Wanawake wanachelewa kupata dalili hizi, karibia asilimia 80 ya wanawake hawapati dalili hizi kwa haraka



Namba ya swali 013

Hii haimaanishi kuwa mwanamke hawezi pata dalili mapema, inategemea na afya yake pia ila kundinkubwa la wanawake wanachelewa kupata dalili, na wanazipata ndani ya siku 30. Hata hivyo anaweza pia asipate dalili ila athari ya gonorea ikaendelea kuathiri ndani na hatimaye kupata madhara zaidi



Namba ya swali 013

Ahsante dokta



Namba ya swali 013

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 932

Post zifazofanana:-

Njia haramu za uchumi
Soma Zaidi...

KUJIANDAA KWA AJILI YA KUMUONA DAKTARI
KUJIANDAA KWA AJILI YA KUMUONA DAKTARI Fanya miadi na daktari wako wa kawaida ikiwa una ishara au dalili zinazokupa wasiwasi. Soma Zaidi...

Utaratibu wa kuzika, hatua kwa hatua, na namna ya kusindikiza jeneza
4. Soma Zaidi...

AFYA NA MAGONJWA
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Dua Sehemu ya 01
Zijue fadhila za kuomba dua, tambua umuhimu na mahimizo juu ya kuomba dua? Soma Zaidi...

viawanyo vya elimu
Soma Zaidi...

Dua sehemu 03
Zijuwe njia ambazo Allah hujibu Dua yako. Tambua kama umejibiwa dua yako au bodo, soma darsa za dua hapa. Soma Zaidi...

Alif lela u lela 1
Alif lela u lela ni hadithi zilizosheheni utamu na machungu pamoja na visa vya wachawi na majinim soma sasa. Soma Zaidi...

HADITHI YA. 28 NAKUUSIENI KUMCHA ALLAAH NA TABIA NJEMA
Soma Zaidi...

kuwa muaminifu na kuchunga Amana
Uaminifu ni uchungaji wa amana. Soma Zaidi...

WAJUE FANGASI, AINA ZAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili. Soma Zaidi...

MAKTABA YA VITABU
Soma Zaidi...