Pata jibu kamili kuhusu swali lako
vifaa vinavyotumika kumsafisha mwanamke sehemu za siri
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 117
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ivi mtu mwenye ukimwi anaweza akatokwa na vidonda vya homa ya usiku??
Vinavytoka pembeni ya mdomo kama vipele Vile vidonda vinatoka kama unakinga mwili wanasema homa inatoka
namna ya kusafisha kizazi kwa mwanamke
Mafua yanayoashilia mtu kuwa ana vvu uchukua muda gn kupona?
Naomba kuuliza je watu waliasilika wajaanza dawa kwana mke na mume wanaendelea kushiliki tendo LA ndoa madharayake nini?
Shida yangu mikono inalegea na kukosa nguvu pia kufa ganzi na halafu miguu pia inakosa nguvu na maumivu ya mwili wote hasa kifuani
Leo Ni siku ya pili nimeamka kiuno kinauma he Ni kawaida kwa mjamzito kiuno kuuma au na lenyewe Ni tatizo