Pata jibu kamili kuhusu swali lako
unaweza kushiriki tendo la ndoa kwa mjamzito akiwa na miez mingap
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 32
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
sikuhatar za kupata ujauzito kwa mwanamke nisiku gan
Swali langu, ipi Sababu ya mwanamke kuchanganywa na siku yake ya period eg, maalum Ni tareh 23 Kila mwezi ,utaona inamshusha 18, Mara 22 kupanda Tena 26 , naomba kujua doctor
Niko na vitu kama upele kwa makwapa je shida inaeza kua nini
Kaka habali m na vipele makalion na kwenye uume ni vina niwasha sana kila nikipma magonjwa ya zinaa Sina huenda ukawa ni dalili ya ugnjwa gan
Toka nianze kupata hedhi yangu sijawahi pitisha mwezi sijapata lakin saiv nimeona mabadiliko sijapa hedhi yangu mwezi mmoja toka nimeingia mwezi wa pili tarehe 22 sijapata tena na pia nakuwa najisikia mchovu mwili pia kichefuchefu mara mojamoja baada ya kla chakla sijajua hii ni shida gan naomba mnisaidie
Habari? Kuna dawa za kumaliza pressure ya kupanda moja kwa moja mbona mi Kila nkienda hospital napewa dawa za muda mfupi tu Kisha baadae pressure inanirudia tena