Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Me naitaji kujua dalili. Ama viashilia vya vvu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 327
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani docta ukitumia p2 cku ambayo nimefanya mapenzi alafu cku ya tatu pia nikafanya mapenzi na nikasahau kumeza p2 je inaweza kuleta shida
Kirusi cha vvu kinakaa muda gan kwenye vitu vyenye ncha kali
Nahisi kichefchef na period sijaingia miez3 mpk sass nachoka San tatiz nin
Ukimu unaweza kuonekana ndani ya siku 23 toka kuambukizwa, kwa kutumia rapid diagnostic test
mama yangu anasumbuliwa sana na vidonda kwa mda mrefu Sasa takribani mwaka sasa na hajapata nafuu mpaka imefika wakati hawezi kutembea na anazimia sasa nifanyeje
Je nikawaida mtoto kucheza chini ya kitivu mimba ya miezi mitano?