Swali #781
18-03-2023 08:15:37
<p>Habari,,naomba kukuuliza nimetumia Kinga ya kijit Cha miak mitatu,, Ila nimechelewa kikitowa na mara ya mwisho kuona hedhi ni tarh 4 mwez wa pili na natumikaga mpaka cku kumi na mbili ndo anakat Sasa tok hapo cjapat Tena inawezekan nikapata ujauzito ikiwa bado Nina Kinga ambaayo bado cjaitowa na imeisha muda wake? ahsantee</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 781