Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani nina vipere kwenye uume dawa ya asili ni ipi
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 662
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nauliza kutokww na uchafu kama usaa na unaharufu mbaya baada yakumaliza period unaakaa kama wiki alafu ile hali inapotea
Habari ya kazi! Samahani nauliza, hivi dalili za Kwanza za maambukizi ya virusi vya ukimwi zinakuwepo kipindi chote Cha mwezi mzima yaani hizo wiki nne, au inakuwaje!?
Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini
habari ninatatizo la fangas kwenye pachu za mapaja nahitaji matibabu kwenu napataje huduma?
Je mwanamke anaweza pitiliza sku zake za makadilio kwa kawaida ngapi?
Nina umri wa miaka 23 ni msichana mm naomb msaada nilisex baada ya kusex nikakaa kama siku mbili nikaingia period xiku 4 nikatoka nikakaa kama xiku 4 nikasex tena je naeza kupata naeweza kupata mimba