SWALI

uwashwa mwili na kutoa mapele manene, kukosa hamu ya kula na kuhisi maumivu ya tumbo ni dalili ya aina ipi ya minyoo na dawa gani itumike?

Swali No. 353
JIBU

Huwenda sio minyoo tu. Kuwashwa na kutoa mapele ni dalili za fangasi pamoja na mashambulizi ya makteria. Tumbo kuuna na kukosa hamu ya kula inawezabkuwa minyoo ama Typhod.

Jambo la kufanya onana na daktariKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-17:10:56 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA