Swali #655
08-03-2023 06:55:43
<p>nimetembea na mtu mwenye ukimwi zaidi ya mara 15,,, afu nigundua karbuni ,,,nishatembea nae,, mwishoe nimejikuta kunavipele yamenipata vidogovidogo vimejikusanya kama vile niugua na moto vinatoa maji je inaweza kuwa ndo dalili ya kuwa nimeambukizwa</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 655