Swali #1002
06-04-2023 12:06:08
<p>Samahan kwa usumbuf naomba ushauri wenu mimi nina ujauzito wa wiki 37 ila tumbo linaniuma kiuno kinauma natapika maji machungu chuchu zinauma kwenye magoti na kwenye uti wa mgongo naomba ushauri yote haya yana sababishwa na nn samahan kwa usumbuf lkn🙏🙏</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1002