Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanza unatakiwa ujue kuwa sio kila anayesex na kuathirika naye atakuwa ameathirika.
Pili utambue kuwa endapo muathirika atakuwa anatumia dawa vizuri sio rahisi kuambukiza wengine.
Tatu unatakiwa umuone daktari kwa ushauri na vipimo. Poa kama itawezekana kuna dawa za dharura unaweza kupewa.