Swali #491
24-02-2023 11:59:08
<p>Niliingia hedhi kwa mwez mara mbili ndipo nilipenda kupiga utra sounds nikapewa dawa za wk 2 akasema hayo maji yanasababishwa na PID sasa dawa zimeisha leo bado anasema mayai yapo vzr ila kuna maji</p>
<p> </p>
<p>Na hajanipa dawa kasema nikae baada ya wk 3 niende tena</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 491