Pata jibu kamili kuhusu swali lako
kuhusu hizo dawa za fangas zilizo tajwa hapo juu mjamzito anaweza kuzitumia,
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 999
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mim ninaukosefu wa nguvu zakiume, naomba msaada
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?
Me naomba kuulza ivi kuna siku maalumu ukifanya tendo la ndoa endapo mke atapata ujauzito bc mtot atakuwa wa kiume ipo siku iyo?
Shinikizo la damu ni nini?
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Mm naumwa na tumbo side ya left chini kabisa Yani kunadundadunda mpka sometimes nasikia maumivu halafu nakojoa kila mara