SWALI

Nimesoma mtandaoni kuhusu kuvimba pumbu, mimi pumbu inavimba moja japo sina maumivu naweza kutumia dawa gani doctor

Swali No. 350
JIBU

Kuvimba kwa pumbu, namaanisha korodani bila ya maumivu yeyite kuna mahusiano makubwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Katika hali hii huna haja ya kutumia dawa. 

Endapo litavimba na kuambatana na maumivu kuna mahusiano na inflamationa yaani huwenda ni mashambulizi ya bakteria kama U.T.I

Pia kama limevimba bila ya maumivu lakini mkojo ni mchafu ama unakojoa mara kwa mara inaweza kuwa ni U. T.IKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-02-2023-13:25:41 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA