Swali #685
10-03-2023 08:09:49
<p>Mke wangu ni mjamzito anategemea kujifungua mwezi huu ila naja amelala na maumivu ya tumbo mpaka asubuhi . ila muda huu amenipigia simu kuwa anaona matone ya damu yanatoka ukeni pa maumivu yanaendelea.</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 685