Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nina tatizo LA kusahau mm niwakiume
Tatizo la kusahau, tumia
1. Karanga
2. Samaki
2. Machungwa
3. Mbegu za mboga
4. Pilipili
5. Kahawa
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nnamchumba wangu nampenda sana lakn Kwa bahat mbaya nmebeba mimba ya mwanaume mwingine nifanyeje
Samahani docta ukitumia p2 cku ambayo nimefanya mapenzi alafu cku ya tatu pia nikafanya mapenzi na nikasahau kumeza p2 je inaweza kuleta shida
ninapresha ya kushuka je inasababisha kooni kubana
Je, keloids husababishwa na upungufu wa vitamin D na njia ya kutibu au kuondoa keloids Ni zipi
Ni njia gani bora ya kuzuia magonjwa ya zinaa?
Mimi ninachangamoto ya mauvi chini ya tumbo kwa kushoto pia napata maumivu kwenye mbavu upande wakushoto