Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Samahani mimi nataka kujua aina zavidonda vya tumbo
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 230
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na je hiv vipimo vya kujipima mwenyewe vya mate ni vya kwel au some time huwa vinakosea
Mimi ni muhanga wa uvimbe kwenye titi na ninanyonyesha
Sijapata majibu Dr kucha hiyo kwa Sasa inawasha kwa ndani
Samaan me nimjazito miez tisa ss Ila ikifika usiku napata maumivu makali yatumbo na kiuno
Kwahyo viupele vya rangi nyeupe na rangi ya dhambalau haiwez kuwa dalili ya ukimwi?
Me nilitoa mimba ikatoka ilivotoka baada ya mwezi mumoja nikawa cijaingia periodi nikaenda kukutana na mwenza wangu tulipomaliza kufanya nikameza p2 je mimba itatungwa Tena upya au haitatungwa