Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je nisahihi mtu mwenye vidonda cya tumbo kula mboga za majani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 277
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samaan me nimjazito miez tisa ss Ila ikifika usiku napata maumivu makali yatumbo na kiuno
Hellooo! Ndugu najihisi kuwa mpweke sana, kwani Huwa nahisi mm ni mgongwa wa ukimwi, lakini nikienda kupima naambiwa sio mgongwa, lakini dalili nationa kama ni kweli mm ni mgojwa, kwani afya niliyonayo Si sawa na afya yangu kabla ya miaka mitatu iliyopita, nifanyeje ndugu, naomba ushauri!
Samahani, mm na mwezi mmoja na siku kama 5 toka nikutane na mwanaume. Cjaona siku zangu na ilitakiwa nizione tangu mwez wa pili 23 ... Najiskia ovyoovyo tu tumbo linauma na naharisha je nwaza kuwa na mimba?
Naomba kuuliza mwezi wa 2 trh 14 nili sex na mtu mwenye ukimwi trh 15 nikaenda hospital nikapewa pepu nimetumia pepu na Leo ni siku ya mwisho nimalize dozi ila toka juzi Kuna dalili zinajitokeza Kama homa kichwa kuuma maumivu kwenye Koo samahani naweza nikawa nimeasilika
nasumbuliwa na chuchu za maziwa kuuma wiki ya pili na mgongo kuuma hizi ni dalili za mimba
Kuhala sana ndio dalili za mwanzo pia au mpaka ugojwa ukomae