Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni sababu zipi zunapelekea kizaz kusogea
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 390
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
habari mimi apa nahisi na ujauzito lakin sina uhakika naomba ushauli wenu
Je nisahihi mtu mwenye vidonda cya tumbo kula mboga za majani
Sijaona siku Zang za mzunguko mwez wa 3 sas je nitumie virutubisho gan ili kuwa sawa??
Habari yako Dr, Napenda kuliza swali mm ni mtoto wakike ninatatizo la vitu kunitembea chini ya tumbo nikiwa nimetulia nikiwa na maana chini ya kitovu vinaenda kulia na kushoto pia mdomo kunikauka nidalili gani?
Habari ndugu nina mtoto wa miezi5 ana tatizo la kukoroma lina miezi miwili sas kapatiwa tiba ila bado ana koroma tu dawa alizo tumia ndo Izo ila tatizo liko pale pale
Kama nahisi maumivu kwenye kinena nililala hata nikitembea ndio kabisa mimba yangu cjui Ina week ngap lakini nahic miezi 9 imefika