Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni msichana namiaka 30.nahitaji kujua dawa ya chango.
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 148
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina mimba sasa imefikisha miez 9 na mtoto anachezea upande mmja tu iyo nini
Ok mm shida yangu sehem ya uume Kama nikibinya yanatoka maji ambayo Kama usaaa lakin hayajafikia kwenye usaa
Je ukiwa unakojoa ukawa unajisikia maumivu au uume ukisimama halafu mshipa wa chini unauma hiyo nayo nadalili ya nini
MWANAMKE ANARUHUSIWA KUFANYA MAPENZI MWISHO MIEZ MINGAPI COZ BAADHI YA WATU HUSEMA UKIFANYA MPAKA MWISHO MTOTO HUZALIWA MCHAFU KICHWANI
naomba kusaidiwa kujua siku za hatari,
naombaa kuuliza swali minyoo inapokuwa mingi zaidi haiwezi kuhusika na upungufu wa nguvu za kiume?