SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #729 14-03-2023 05:42:14
Question Icon

Doctor habari, samahani Mie Kuna kitu kimeniahtua sijui ninttizo au maumbile sielew, kwenye uke wangu sehemu ya kinembe sijui ndo kinena Kuna kinyama kimetoka yaan Kama kimegawanyika katikati alafu upande mmoja wa kushoto ndo Kama umetoka kinyama Sasa sielew Nini nini

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 729

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi