Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kama mayai yapo machache hayakomai uwezo wa kubeba mimba utakuwepo au
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 301
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ikiwa umepima mara kadha hamna majibu hapo unakuwa hauna au?
Je mwanamke mwembamba ataweza jifunguaa Kwa njia ya kawaida
Hello,mtu anatakiwa kula vyakula gani wakati wa siku za hatari ilikuweza kupata ujauzito.
Jinsia ya kiume na umri wa 24. Je mwanamke akivusha siku zake mpaka miezi miwili baada ya hedhi nikikutana nae tufanye siku ya60 baada ya kupata hedhi. Je anaweza pata ujauzito nikikutana nae?
Kwa kawaida naingia hedhi siku nne ya tano nakuwa namalizia sasa ivi kalibuni nimeingia TU ijumaa juma mos juma pil DAMU ikakata naomba kujua shida ni nini?
Je maji kwenye ovari ni dalili ya kukaribia kwa hedhi?