Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nahisi kichefchef na period sijaingia miez3 mpk sass nachoka San tatiz nin
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 110
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mpenzi wanguu alimeza dawa ya kuzuia mimba mara mbili na akatokwa na damu kidogo ikawacha na kwa sasa amepima mimba mara mbili na inaonyesha kuwa hana ujauzito ila leo kaniambia anaskia kuchefukwa na roho je inaweza kuwa ni tatizo gani ama ana ujauzitoo???
Ni msichana namiaka 30.nahitaji kujua dawa ya chango.
naomba tiba ya kutokwa harufu mbaya mdomoni
Nilitumia contraception after sex baada ya twelve hours bt ninaona matone ya damu kidogo kidogo kunauwezekano nimepata mimba?
Unaweza kukaa siku ngapi baada ya kumaliza siku za hatari ili kupima ujauzito
Ivi mafua ya mara Kwa mara, kuhisi uchovu, na kukosa hamu ya kula ni dalili za UKIMWI??