Swali #11
24-01-2023 17:39:29

Nawashwa sana sehem za siri pia napata maumiz sana wakat wa tendo had napomalza kwenda haja nlpta kwenye page yenu ndo nmeona kwamba n dalili za fungus

Hata mzunguko wangu haujulkan n wa sku ngp yan hata hazkai mpanglio mzur

Na hapo nikimaliza period huwa naamin kwamba nabanwa na pad yn huwa nawashwa had natumiaga maji ya vuguvugu ndo kdg naacha kujkuna

Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 11