Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je ulcers na vichomi vyaweza sababisha kutoona siku zako
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 580
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mi maziwa yamejaa na yanauma. Ila hii dalili naisikiaga nikikaribia period ila pia nimesex juzi sa sielew hapo ni mimba au period
Kwamfano umejamiiana na mtu wiki iliyopita unatakiwa ukae kwa muda gan ili ukapime
Nilikuwa nauliza natokwa na uchafu warangi ya njano arafu mzito hili litakuwa nitatizogani
Me naitaji kujua dalili. Ama viashilia vya vvu
Napata maumivu chini ya tumbo la kushoto maumivu hayo yanaenda korodani la kushoto
Hellooo! Ndugu najihisi kuwa mpweke sana, kwani Huwa nahisi mm ni mgongwa wa ukimwi, lakini nikienda kupima naambiwa sio mgongwa, lakini dalili nationa kama ni kweli mm ni mgojwa, kwani afya niliyonayo Si sawa na afya yangu kabla ya miaka mitatu iliyopita, nifanyeje ndugu, naomba ushauri!